STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemfungukia msanii mwenzake, Baby Joseph Madaha kwamba hajielewi.
Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Shilole ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kuchanwa gazetini na Baby Madaha kwa kuambiwa kuwa yeye ni mcheza vigodoro.
Baby Joseph Madaha.
“Sitaki kabisa kumsikia huyo Baby Madaha, hanisaidii chochote kile
katika maisha na kazi zangu pia sioni sababu ya kupigizana naye kelele,
mtu mwenyewe hajielewi,” alisema Shilole.
0 comments: