Mimi mzima na bado naendelea kuzungumzia mapenzi, mapenzi haya haya ambayo yamekuwa yakiwaliza baadhi ya watu kila kukicha.
Wapo wanaojuta kupenda lakini mbaya zaidi wapo wanaolia kwa sababu ya vitu vidogo vidogo ambavyo vimekuwa haviwaendei sawa katika uhusiano wao.
Ni jambo lililo wazi kwamba, usaliti umekuwa ukiwatesa wengi tena ukijaribu kuchunguza sababu za baadhi ya watu kuwasaliti wapenzi wao, kutoyajua mapenzi yale ya faragha ni moja wapo.
SIFA YA MWANAMKE NI MAVITUZ NA MAUNO KITANDANI MENGINE MBWEMBWE,,,,!
Ni wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kilasiku kama kawaida.
Wapo wasichana au niseme wanawake ambao kimaumbile wana mvuto sana. Wamejaaliwa uzuri wa sura na kila kitu kiasi cha kutamaniwa na kila mwanaume wanayekutana naye.
Lakini linapozungumziwa suala la mapenzi kwa mwanamke, wanaume wanaangalia vitu vingi, achilia mbali hilo la muonenako, pia wanaangalia utundu na ubunifu wa faragha. Hapo ndipo panapowakosesha raha baadhi ya wanawake wazuri.
Wanakuwa ni wenye kupata bahati ya kupendwa lakini hao hao ndiyo wale ambao kila siku wanaachwa. Si jambo la ajabu huko mtaani kukutana na msichana mkali ile mbaya lakini akawa si mtu wa kutulia na mwanaume kwa muda mrefu, kwanini? Kwa sababu hayajui mapenzi.
Ni tatizo siriasi?
Msichana mzuri aliyeumbika kutoyajua majamboz ni tatizo na ndiyo maana anaweza kuwa mtu wa kulia kila siku.
Anaweza kukumbana na malalamiko kutoka kwa mpenzi wake kwamba anachokipata ni tofauti na alivyotarajia. Hakuna kinachowauma walio wengi kama kusikia kutoka kwa wapenzi wao kuwa hawawaridhishi.
Kwa maana hiyo ni tatizo siriasi lakini lina ufumbuzi wake. Hakuna aliyezaliwa na kuanza kutembea moja kwa moja, vile vile kuingia kwenye uhusiano ukawa hujui lolote siyo tatizo ila unachotakiwa kukifanya ni kujifunza.
Zungumza na wataalam wa masuala ya mapenzi, soma vijarida na magazeti, naamini utapata elimu tosha ya kuweza kumfanyia mpenzi wako yale yatakayomfurahisha.
Ugoigoi faragha kwa mwanamke ni chanzo cha wengi kusatiliwa, tena utasalitiwa zaidi kama kila siku utakuwa ni mtu yule yule, yaani hujifunzi chochote. Mwanamke lazima awe mbunifu kwa mpenzi wake, abuni mbinu za kumdatisha ili kuhakikisha haachwi kirahisi.
Unapobaki kujisifia kuwa wewe ni mzuri wakati huna mashamsham yoyote itakuwa ni kazi bure. Matokeo yake sasa utashangaa mpenzi wako anakwenda kwa mwingine ambaye ukimuangalia na kujilinganisha na wewe, unaanza kujiuliza, hivi alichokifuata kwa yule ni nini?
Hakuna kingine, kafuata majamboz. Ndiyo maana nikasema, uzuri wako kama hujui chochote faragha, ujiandae kusalitiwa kila siku na mwisho wake utaachwa.
Ni majamboz tu?
Sifa za mwanamke anayeweza kutulia kwenye uhusiano ukiachilia mbali uzuri wa sura na umbo, tabia njema nalo ni jambo la msingi. Kama umzuri, unayajua mambo ya chumbani ile mbaya ila huna tabia njema, ni tatizo. Waswahili wanasema, tabia njema ni silaha.
Ushauri wangu
Ili uyafurahie maisha yako ya kimapenzi, hakikisha unakuwa imara kila idara. Kwanza mpende mpenzi wako kwa maana halisi ya kumpenda halafu jitahidi kumpatia furaha ya kweli.
Miongoni mwa mambo yanayoweza kumfurahisha mpenzi wako ni kumshibisha pale mnapopeana chakula cha usiku, ale ashibe na wewe ushibe, mtadumu.
Mbinu za kumshibisha mpenzi wako, zipo nyingi ila kwa kuwa ukurasa huu unasomwa na watu wa kila rika, siwezi kuandika wakati huu.
Tags: MAPENZI
About the Author
Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Share This Post
KABAMBE
-
Ni wiki nyingine tena tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku kama kawaida. Mimi m...
-
Hali ya mitindo ya mavazi kwa dada hapa nchini kwa sasa imekuwa gumzo kutokana na baadhi yao kutumia vibaya uhuru tulio nao,kwa sa...
-
TAZAMA HAPO CHINI MOJA KWA MOJA KWENYE ACCOUNT YAKE YA FACEBOOK ((((BOFYA HAPA))))
-
MSANII wa filamu na tamthilia bongo Rayuu, inadaiwa kuwa amepewa mchongo mkubwa wa pesa ndefu endapo atakubali kushiriki kwenye picha ya...
-
HII NI KWA WALE MABINTI WOTE WANAOPENDA KWENDA SEHEMU ZA STAREHE BILA KUVAA NGUO ZA NDANI. TABIA HII SIO NZURI ACHENI MAANA MTAAMBULIA AIB...
-
GPL iko tayari kumlipa kiasi cha shilingi Milioni mia tano, mnenguaji wa Bendi ya Twanga Pepeta, Aisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ ikiwa...
-
Amepiga picha na kuzisambaza facebook mungu atunusuru na haya majanga yakina dada ambao wana piga picha za uchi na kuweka kwenye mitandao...
-
African American LaTascha Emanuel who claims to be a Christian evangelist and owner of LaTascha Emanuel Mini...
FB
- KWA WALE WANAOPENDA MAJIMAMA,,,, CHAGUA KATI YA HAWA WATANO!
- SIFA YA MWANAMKE NI MAVITUZ NA MAUNO KITANDANI MENGINE MBWEMBWE,,,,!
- HATIMAYE IMEGUNDULIKA.. JENGO LINALOTUMIWA NA MADADA KUPIGA PICHA CHAFU ZA UCHI,ONA PICHA ZENYEWE NA MANDHARI YAKE
- HIZI FACEBOOK ZENU JAMANI LAANA TUPU....TAZAMA PICHA ZA HATARI ZENYE KUSHAWISHI UTAMU ALIZOPOST MWANADADA SIMBI ANITHA
- RAYUU APATA BINGO LA KUCHEZA PICHA ZA XXXX HUKO AFRIKA KUSINI ...TAZAMA MAANDALIZI YAKE HAPA
- LAANA HII....CHEKI PICHA MDADA HUYU AMBAYE HAKUVAA CHUPI ANAVYOJIDHALILISHA NIGHT CLUB....!
- MAJIMAMA HAWA WANA ZAIDI YA MIAKA 35 NA BADO HAWAJAOLEWA,,,WANAJIULIZA NINI TATIZO?
- SAKATA LA KUPIGA PICHA ZA UCHI ASHA KULIPWA MIL.500 ......(AISHA MADINDA)
- LAANA: BINTI APIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZIACHIA FACEBOOK !
- PHOTO/VIDEO: Female Preacher Who Preaches With Her chest Out Is Back With A New Message....!
Popular Posts
Powered By Blogger.
0 comments: