Picha: Soggy awa baba kwa mara nyingine, apata mtoto wa pili wa kike

3:12 PM - By Unknown 0

Rapper na Program director wa Ebony Fm ya Iringa, Anselm Tryphone Ngaiza aka Soggy The Entertainer amekuwa baba kwa mara ya pili baada ya mpenzi wake kujifungua mtoto wa kike.
Soggy n dotaSoggy akiwa na mtoto wake wa kwanza
Soggy ambaye mtoto wake wa kwanza ni msichana pia (kwenye picha juu), ameshare furaha yake na marafiki kupitia facebook kwa kupost picha na kuandika:
soggy dotaMtoto wa Soggy Abigail‘Jana usiku saa tatu ((February 7) Mungu amebariki ukoo wetu kwa kunipa mtoto wa pili wa kike….Anaitwa Abigail na namshukuru zaidi mpenzi wangu Leah Choma for everything’
Tunampa hongera Soggy kwa kujaaliwa kupata mtoto mwingine.

Tags:
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top