MKE ATEMBEA UCH*! NA KUHARIBU SAMANI ZA NYUMBA YA MUMEWE KISA KUNYIMWA UNYUMBA...!

6:37 AM - By Unknown 0

MWANAMKE  raia kutoka United States - alalama  kitendo cha mume wake kukataa kufanya tendo la ndoa pale  akiwa na uhitaji wa kitu hicho adimu, mwanamke huyo amtolea uvivu mumewe huyo ambaye yasemekana anatabia ya ulevi kwa kutembea uchi wa mnyama mpka pale anapo ishi mume wake huyo na kufanya uharibifu mkubwa katika nyumba ya mume wake huyo kwa kuchoma moto baadhi ya vitu na kuvunja vunja furniture kibao zilizopo ndani, bila hata haya ya watu walokuwa waimtazama aliendeleza uharibifu wake huku akiwa mtupu hivo hivo mpaka pale polis walipo fika na kumtuliza...
chanzo cha habari hii kinaeleza kuwa ujio wa polis kidogo ulisaidia kumtuliza bibiye huyo....report kamili inadai sasa mumwewe huyo kapigia simu ili aende polis los angels kujibia mashtaka hayo ...bwana huyo aliye fahamika kwa jina la mlevi Ashely Marie Prenvost akarudi Glendale , Arizona nyumbani na kukuta uharibifu mkubwa sana lakin hakua na jinsi ikambidi aende kituoni....! 

Tags: ,
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top