MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUYAJUA KABLA YA KUMTONGOZA MWANAMKE

12:00 PM - By Unknown 0

1. JIAMINI
Mwanaume anapaswa kujiamini na kuacha kujiuliza mara mbilimbili ujasiri wako ndo utakaokufanya kumpata mwanamke yeyote umpendae.
2. ENDELEZA MAZUNGUMZO MAREFU;-Mwanaumeunapomfuata mwanamke hakikisha unaanzisha mazungumzo marefu ambayo yatamfanya mwanamke ajielezee na pia tambua mwanamke wanapenda wanaume wenye stori nzuri.

3. MSIFIE
Hakikisha unamsifia mwanamke jinsi alivyovaa,anavyoongea,rangi ya nguo yake kwa kufanya hivyo itamfanya ajisikie mwenye amani mbele yako na atapenda kuwa karibu na ww.

4. AHADI ZA KUMJALI
Mwanamke ni kiumbe dhaifu hivyo anapenda kuwa anadeka,mwambie kuwa upo kwa ajili yake na kwamba utamjali na pia fanya kitu chochote ili aamini hivyo.

5. USIJITAMBE MBELE YAKE
Mwanamke hapendi mwanaume mwenye kujisifu kuhusu mafanikio yake ya kiuchumi bali hupenda mwanaume yule anayemweka mbele yeye kuliko mali zake

Tags:
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top