JUKWAA LA WAKUBWA..!! UKIAMBIWA KAULI MOJAWAPO KATI YA HIZI NA MPENZI WAKO BASI HAPO UJUE KUNA JAMBO TUWE MAKINI,,,SOMA ZAIDI KUJUA KAULI HIZO

3:59 PM - By Unknown 0

KAULI HIZI (8) ZIMEKUWA NI COMMON KWA WADADA NOWDAYS, SIKATAI YAWEZEKANA MREMBO AKAKWAMBIA MOJAWAPO KATI YA KAULI HIZI NA AKAWA KWELI ANAMAANISHA LAKINI HAKIKA NI WACHACHE SANA AMBAO HUWA WANAMAANISHA WENGI WAO NI KAMBA TU...TEK CARE!!!
1.Nina mpenzi ila yuko nje ya nchi
2. Jamaa yule ananisumbua sana ila mimi simtaki
3. Situmii mkorogo mimi nina natural color
4. Niko period.
5. Sikuwepo jana nilienda kumsalimia rafiki alinipa 50,000 ila hakunifanya kitu.
6. mie sikupendi kwa ajili ya fedha zako nakupenda wewe
7. Yule jamaa ni rafiki yangu tu
8. I love u too!

Tags:
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top