HATIMAYE BEYONCE AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MAHUSIANO YAKE YA MAPENZI

8:01 AM - By Unknown 0

 

Mwaka uliopita mwanamuziki mrembo na maafu duniani Beyonce Knowls, alifunguka katika kituo kimoja cha luninga huko Marekani na kudai kuwa alikuwa bikra wakati anakutana na mume wake wa sasa "JAY- Z.

Japokuwa Beyonce hakuwahi kuzungumzia maswala ya ubikra kama ilivyo kwa wasanii wengine wa muziki wa pop, lakini alikuja kuamini kuwa swala hilo lilikuwa ni muhimu kwake. 
Katika mahojiano hayo na Hollyscoop, Beyonce alifunguka kuwa "nilikuwa bikra wakati nakutana na Jay-Z, lakini alipobanwa maswali alikubali kuwa alikuwa na boyfriend mmoja kabla ya Jay-Z, lakini alidai hakuna kitu chochote kilichofanyika. 
“[W]e didn’t live together, we didn’t, you know…” Beyonce says about the only other experience she has had with a guy. She then reveals that Jay-Z was the next boyfriend after that guy.
Beyonce na Jay-Z walifunga ndoa mwaka 2008 na kuanzia hapo Beyonce alianza kukumbana na skendo za kuwa mjamzito kila baada ya miezi 6 baada ya kusema I DO.

Tags:
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top