UKITAKA KUA NA DEMU BONGO MUVIE JIANDAE KUMEGEWA...angalia picha chafu za kimapenzi ndani ya tasnia hiyo

1:13 AM - By Unknown 0


Tasnia ya uigizaji Tanzania maarufu kama bongo muvie imekua ikipanda kila kukicha na kuwanufaisha wengi wanaoamua kujiingiza huko na kubahatika kupata mafanikio makubwa. Wengi wamenufaishwa kama kina Ray, Shilole, JB, Ndauka na wengine wengi. Lakini bongo muvie hiyohiyo imejaa uchafu mwingi ambao behind the scene hauelezeki......

4Tabasamu na Neema

Mademu wa bongo muvie wamekua ni watu wa kujiachia sana na kujisahau linapokuja suala la kwenye scene za mapenzi, Je kama wewe ni mwanaume rijali uliekamilika unaangalia mchumba wako  anashikwashikwa kimahaba na jidume lingine utajisikiaje?  Angalia Uwoya kwenye Oprah au Rose Ndauka kwenye Clinic Love....dah ni aibu tupu. 
ireneWakati mwingine unaweza ukashangaa sana wanawezaje kuishi na mabwana zao huku wakirudi nyumbani jioni wakiwa wametoka kushikwashikwa na wanaume wengine... Pia kuingia bongo muvie siku hizi hakutegemei kipaj sana, uzuri ndo silaha yako lakini ndio ujiandae kutoa mzigo kwa ma-legendary wa kiumeni. Hivyo sishauri mdada mzuri kwa sasa kua na ndoto za kuingia huko kwani ni ufuska ndio umetawala tu na wewe mwanaume unaemruhusu demu wako aende akaigize mapenz na mwanaume mwingine ujiandae kuchapiwa japo ni siri ya ndani. Huwa najiuliza BASATA hawaoni au ??? Hayo ni maoni yangu tu kama na wewe unayako tunaweza share na mm kwa comment

Tags:
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top