SKENDO YA LUCCI NA JOKATE KIDOTI SASA YAPATA UFUMBUZI ...UKWELI UPO HIVI !

6:14 PM - By Unknown 0

 

 Sehemu ya video ya wimbo wa "dada kaka" iliyozua utata kuhusu mahusiano ya wawili hawa.. Mtu wangu wa nguvu unaweza kujiuliza huyu shemeji yetu alikuwa na hali gani kipindi kifupi kilichopita wakati Kaka Dada,Lucci Jokate ndiyo headline kila sehemu.
Lucci anaongezea,”Unajua ukishakuwa kwenye mapenzi na mtu anayejitambua na anafahamu kazi yako. Basi atafahamu kabisa entertainment inahitaji vitu tofauti ili kufanikisha. So mimi na yeye tuliongea kwamba muda huu tunaitoa kazi ya kaka dada na plan nzima alikuwa anaijua. So hakukuwa na tatizo lolote”
Kama unataka kujua upande wa pili wa Lizzyblazzer, Lucci anatuelezea kuhusu mchumba wake,”Lisa ni director wa kampuni yetu mimi na yeye inaitwa  Tsere. Kazi tunayofanya ni creative and marketing, pia anafanya kazi ya HR kwenye hii kampuni” 
Oky, so kumaliza mawazo mengi ambayo watu walikuwa nayo kuhusu Jokate na Lucci. Kaka Dada ni kaka na dada kweli, ule ulikuwa wimbo tu.
Tunasubili Jokate na yeye atuwekee wazi shemeji yetu…JUST KIDDIN’
Yanayoendelea twitter....

UMBEA TUPA KULE...SHEMEJI YETU NDIO HUYU
KATKA TIME KABISA ENEO LA TUKIO

Tags:
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top