POMBE SIO MAJI..STAA WA BONGO MOVIE SHAMSHA FORD AGEUKA KIKOJOZI KWENYE KIKAO

5:19 AM - By Unknown 0



Shamsa Ford

UA zuri kunako anga la sinema Bongo, Shamsa Ford amejikuta akipoteza utulivu kikaoni kufuatia kuinuka na kuzama toileti mara kwa mara. Tukio hilo lilichukua nafasi hivi karibuni kwenye kikao cha mdahalo wa kugombea nafasi za viongozi wapya wa Klabu ya Bongo Movies katika Viwanja vya Leaders Club jijini Dar. Tathmini za paparazi wetu, Shamsa aliyeonekana akipiga mtungi kiaina, zilibaini kuwa staa huyo aliinuka kwenda toileti zaidi ya mara sita hivyo kufanya watu wapoteze utulivu kwa kumuangalia.
“Mh! Hii kali sasa, bora angesubiri kikao kiishe ndiyo apige mtungi sasa hapa anatibua hali ya hewa,” alisikika mwigizaji mmoja mkubwa...

Tags:
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top