Nimetokea kumpenda baba mwenye nyumba nilipopanga, Ni mume wa mtu na ana watoto lakini nimeshindwa kabisa kuficha hisia zangu....Naombeni msaada

10:41 PM - By Unknown 0


Ndugu  zangu, naombeni  nisieleke  vibaya.. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Nina mwaka wa kwanza tangu nianze kujitegemea mara baada ya kumaliza shule. Nimepanga kwenye nyumba moja iliyoko  maeneo ya  Mbezi.

Tatizo langu ni kwamba nimetokea kumpenda  sana  baba mwenye nyumba wangu ambaye ana watoto na familia. Kila nikijibaraguza siwezi. 

Nimefanya  kila  mbinu  kuzificha  hisia  zangu  lakini  nimeshindwa.Kimsingi simpendi mwanamume mwingine zaidi yake. 

Nisaidie kuniepusha na mtihani huu  mgumu.Asanteni
Anna

Tags:
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top