NAJ AFUNGUKA MENGI KUHUSU MR. BLUE ASEMA HAJUTII KUTOLEWA BIKRA NA KABAISA HUYO

1:31 AM - By Unknown 0

Mwanamuziki Naj ambaye kwa sasa anaishi Uingereza ameelezea story nzima ya mahusiano kati yake na Mr. Blue yaliyodumu kwa muda kidogo kabla ya kuachana mwaka jana mwanzoni. Naj anasema Blue ndo alikua boy wake wa kwanza na ndo aliyemtoa bikra.

Naj anafunguka kwamba hakua anajua kama kipindi yuko na Kabaiser kwamba alikua na mademu wengine   wawili. Anasema Blue alikua mpole kwake na mstaarabu na wala hajutii kukutana nae maishani na kumfanya awe mwanamme wa kwanza kumvulia chu.....Naj ambae kwa sasa yupo masomoni uingereza alisema mahusiano yao yalikua magumu kutokana na umbali waliokua nao na mambo flan ambayo alisema ni ya kiprivate na hawez kuyaweka hadharani

Tags: ,
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top