MLINZI AFUKUZWA KAZI BAADA YA KUMPIGA PICHA BOSS WAKE ALIYEKUWA AKILA URODA KWENYE GARI,,,,!!!!

6:16 AM - By Unknown 0


Jamaa mmoja alijikuta kibarua kikiota nyasi baada ya kula chabo kwa bosi wake na kumpiga picha bosi wake huyo aliyekuwa akila uroda ndani ya gari kwenye parking. Jamaa akieleza kuwa boss wake huyo alipoingia getini alikaa sana kwenye parking nikama vile alikuwa anambembeleza mtu aliyekuwa nae kuingia ndani, mara yeye mwenyewe aliingia ndani kisha kutoka nje na kurudi kwenye gari, mara nikaona gari linacheza, mara tena kidogo mlango wa gari ukafunguliwa nikamuona bosi wangu akishughulika vibaya sana, inawezekana aliona ndani hapatoshi akaamua kufungua mlango na kushugulika akiwa nje. kumbe alikuwa ameshaniona wakati ule nikiwa nakula chabo. kesho yake asubuhi aliniita nakuniuliza ile picha niliyompiga iko wapi. mimi nilikataa kabisa kama sikufanya kitendo hicho ila aliamua tu kunitimua na ndio huo ulikuwa mwisho wa mimi kufanya kazi hapo kwake. Noma sana

Tags: ,
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top