BINADAMU WANA MAKUSUDI SANA, HEBU ANGALIA VISA VYWA HUYU MAMA MTU MZIMA,,,,!

2:58 PM - By Unknown 0

https://www.facebook.com/theclicktz
Siku amini macho yangu, mama huyu mtu mzima kitu alichokifanya mbele yangu, huyu ni dada binamu mtoto wa shangazi yangu ambaye ni marehemu sasa hivi, ni mdada mtu mzima lakini vitu anavyo nifanyia ni hatari sana, siku moja ilikuwa ni msindikize kufanya shopping ya vitu vya ndani huwa mara nyingi nikiwa natoka nae ananiachiaga niendeshe mimi gari, siku hiyo alitangulia yeye kwenye upande wa dereva wakati anataka kuingia aliangusha simu, ikabidi ainame aitafute kwani ilikuwa chini kabisa ya uvungu wa gari.

Nilijaribu kumuomba nimsaidie kuiokota lakini alikataa na kuniambia "usijali frank mpenzi nimeshaiona" sikuamini kitu alichofanya aliinama na kubaki na nguo tu ya ndani, nilitetemeka ila nilimudu kuchukua ka simu kaliko kuwa mfukoni mwangu na kumfutoa picha kimya kimya.
Huwa wakati mwengine tunataniana yeye ananiita mpenzi na mimi hivyo hivyo ila naona sasa kama inazidi huu sio utani tena. daah Sijui ni fanyaje..??

Tags:
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top