ANANIFUATAGA READING ROOM AKIWA HIVI,,,,! ANATAKA NINI HUYU?

8:44 PM - By Unknown 0

https://www.facebook.com/theclicktz


Baada tu ya chumba cha binti huyu ambaye ni mtoto wa mjomba tunayeishi nae hapo nyumbani kuna chumba cha kujisomea ambacho mara nyingi huwa nakuwa humo nikijisomea na kutumia computer.

Ndugu yangu huyu alikaa south africa kwa muda kidogo alikuwa chuoni sasa amekuja hapa nyumbani kwa shangazi yake ambaye ni mama yangu, sasa amekuja na vichembe chembe vya tabia za huko yani hana aibu kabisa , mimi nikiwa katikati ya kujisomea anaweza akaja akaniomba nimpige picha, huwa wakati mwingine nakasirika kwani ananitoa kwenye mood ya kusoma ila nashindwa tu ni mfanyaje.

Siku kama tatu zilizopita alikuja tena amevaa hovyo kweli anaomba nimpige picha ili amtumie boyfriend wake, daaaahh nilichoka sana alinikata stimu kweli kweli. Sasa simulewi ni kwamba amezoe tu yeye anaona ni kawaida au anataka mambo yetuuu..!! Ushauri wadau..!!

Tags:
About the Author

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Pellentesque volutpat volutpat nibh nec posuere. Follow me @Bloggertheme9
View all posts by admin →

Get Updates

Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.

Share This Post

0 comments:

KABAMBE

© 2014 SWAGGA ZA BONGO. Distributed By MyBloggerThemes | Design By Bloggertheme9
Powered By Blogger.
back to top